Loading...

Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi

Loading...
Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi
link : Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi

soma pia


Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Viongozi wanawake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa  akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
 Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Mohamed Hassan Haji (kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoobwa baada ya Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein alipoitoa  katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
 Askari wa Kikosi cha Polisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa  akipokea salamu hiyo ya heshma  katika  Sherehe  za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo  katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa  akipokea salamu ya heshma kwa gwaride maalum la kikosi cha Polisi FFU wakati wa Sherehe  za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo  katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa  akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.


Hivyo makala Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi

yaani makala yote Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/baraza-la-eid-el-hajj-lafanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Baraza la Eid el Hajj lafanyika Kizimkazi"

Post a Comment

Loading...