Loading...

Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana

Loading...
Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana
link : Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana

soma pia


Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana


Bonanza mpira wa miguu kwa timu za wasichana kwa shule za sekondari na msingi limefanyika jana katika manispaa ya Kigoma ujiji, Mkoani Kigoma. Jumla ya timu nane zilichuana vikali ambapo timu ya Shule ya msingi Klasta ya Kigoma Kaskazini iliibuka mshindi kwenye mashindano hayo.
Lengo la bonanza hilo ilikuwa ni kuwezesha watoto wakike katika kukuza vipaji na kugundua vipaji vipya  vya watoto wa kike, lililoratibiwa na Muwakilishi UWT Mkoa wa Kigoma, Miriam Ntakisivya (kushoto pichani) ambalo litakua ni muendelezo kila baada ya miezi kadhaa, bonanza hili limedhaminiwa na radio Joy 90.5 Kigoma, Riam Bookstore pamoja na Tanganyika Water. anayeonekana kushika kipaza sauti ni Mkurugenzi wa radio Joy 90.5 Kigoma, Mwenge Muyombi alipikuwa akizungumza na wanafunzi hao katika ufunguzi wa Bonanza hilo.
Sehemu ya wageni waliofika kwenye Bonanza hilo wakifatilia michezo hiyo.
Picha ya pamoja.


Hivyo makala Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana

yaani makala yote Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/bonanza-la-mpira-wa-miguu-kwa-timu-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bonanza la mpira wa miguu kwa timu za wasichana shule za sekondari na msingi manispaa ya Kigoma ujiji lafana sana"

Post a Comment

Loading...