Loading...
title : MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR
link : MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR
MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Dar es Salaam juu ya umuhimu wa kutunza amani tuliyonayo na umoja wetu kama watanzania wakati wa Tamasha kubwa la Komaa Concert lililoandaliwa na kituo cha Radio cha EFM katika Viwanja vya Tanganyika Parkers, Kawe
Msanii wa Muziki wa Hip Pop Nchini Roma Mkatoliki akiimba na kundi kubwa la Mashabiki wake waliofika katika Tamasha la Komaa Concert kwenye Viwanja vaya Tanganyika Parkers Dar es Salaam
Msanii wa Bongo Fleva Mr Blue akiimba kwa hisa mbele ya Mashabiki wake waliofika katika tamasha la Komaa Concert katika Viwanja vya Tanganyika Parkers Dar es Salaam
Msanii wa Hip Pop Nchini Yound D akiimba katika jukwa ala Komaa Concert Lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Parkers Kawe Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR
yaani makala yote MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/maelfu-wafurika-katika-tamasha-la-komaa.html
0 Response to "MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR"
Post a Comment