Loading...

BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA.

Loading...
BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA.
link : BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA.

soma pia


BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA.


Mwamba wa habari 
Na JohN Luhende
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema  amekataa kuu pokea mradi wa maji Kipera kata ya kitunda kwakuwa ukio chini ya kiwango na,ameagiza mradi wa huo kuwekewa  uzio, ngazi kwaajili ya kukagua maji juu ya tank, kisima kuwekewa pressure pump ili yaweze kuwafikia Wananchi wengi kwa wakati.
DC Mjema Ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Ilala ya  kuzungumza na wananchi kusikiliza kero zao na kukagua miradi ya maendeleo. 


"Maji haya ni ya chumvi  na mradi bado haukaa vizuri  kisima kifikiekina  kama ilivyo elekezwa kufikia mita 100 na wala siyo 80 uliyo weka wewe, naomba pia maji haya yawe yanasasfishwa kuwa kutibiwa na dawa, na kwa maelekezo haya spokei mradi huu mpaka ufanye marekebisho "Amesema Mjema .

Akiwa katika ziara hiyo kata ya kitunda  DC mjema ameagizwa kukamatwa na kuwekwa ndani masaa 48 , Diwani wa kata ya kitunda Nice Gisunte, kwa kosa la kumzuia kuzunguza na kuleta mabishao wakati wa mkutano wake na wananchi
Aidha DC Mjema amewataka vijana na akina mama kujiandikisha katika vikundi ili waweze kupatiwa mikopo ya kufanya biashara.















Hivyo makala BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA.

yaani makala yote BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/breaking-news-dc-mjema-akataa-kupokea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWS : DC MJEMA AKATAA KUPOKEA MRADI WA MAJI, AMTIA NDANI SAA 48 DIWANI WA KITUNDA."

Post a Comment

Loading...