Loading...
title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
link : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Egid Mubofu walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Bodi ya wadhamini ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wajumbe hao waliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Ami Mpungwe (wa tatu kushoto) (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)"
Post a Comment