Loading...

DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI

Loading...
DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI
link : DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI

soma pia


DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI






Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mongolandege , leo akiwa katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua.

Na John Luhende 
Mwambawahabari 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi wa Ukonga kufuata sheria na taratibu za ufugaji Mifugo kwa kutofanya ufugaji wa Mifugo mingi katika maeneo ya mjini.

DC Mjema Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi na kuipatia majawabu katika maeneo ya Ukonga, Mjema katoa agizo hilo baada ya wananchi kutoa kero hiyo mbeleyake kwa kusema kuwa kunamifungo mingi  nimekuwa  inakatisha barabarani mara kwa mara.

"Nimewasikia nataka ni waambie hii ni jiji huwezi kuwa na Mifugo inakuwa ikikatikasha tu barabara lazima Mfugaji afuate sheria na sheria zipo hapa mjini tumieni ufugaji wa Mjini ((Zero grazing). Amesema.

Katika hatua nyingine wananchi wameiomba kushughikiwa kwa suala la usafi kwakuwa magari ya taka yamekuwa hayafiki na uchafu umekuwa ukurundikana  jambo amabalo linatishia afya za wanachi.

Aidha DC Mjema akiwa katika eneo la Mongolandege ametembelea shule ya Mongolandege na kukagua eneo amabalo linatarajiwa kujengwa kushule ya sekondari  na kuahidi kujenga vyoo viwili kwaajili ya wasichana pamoja na madarasa mawili ili kukabiliana na upungufu wa madarasa shuleni hapo.

Mjema Ameendelea kusisitiza umuhimu wa ulinzi na usalama katika maeneo yao na kuwataka kuwataja waharifu wote wanahabari shares usalama wa wananchi.

"Nchi hii inautawala wake na Rais wa Nchi hii ni Dr John Pombe Magufuli, hatutaki mtumwingine kuifanya anautawala wake" Amesema


Hivyo makala DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI

yaani makala yote DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dc-mjemafuateni-sheria-za-ufugaji-mijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA:FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI"

Post a Comment

Loading...