Loading...

TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA

Loading...
TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA
link : TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA

soma pia


TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. 

Tanzania imeng'ara kwa nchi za Afrika kwa kuwa nchi pekee ya kwanza kuandaa kongamano linalowakutanisha wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) kutoka mataifa mbalimbali duniani. Hayo yamezungumzwa na jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Damu (Haematology), MUHAS Prof. Julie Makani wakati akielezea mafanikio ya kongamano la wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) linalokutanisha watalaam wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Bara la Afrika. 

"Nitoe pongezi kwa serikali na Rais Dkt. John Magufuli kwa kuendelea kuwekeza zaidi katika sekta ya afya na ndiyo maana kila kukicha kunakuwa na mabadiliko yanayopelekea kutokea matokeo chanya, wagonjwa badala ya kukimbilia nje ya nchi wanapata matibabu ndani" amesema Prof. Makani. 

Kongamano hilo lililoandaliwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Mfuko wa Kimataifa kusaidia masuala ya elimu Menarini (Fondazione Internazionale Menarini) la nchini Italia, ambalo limeweza kuwakutanisha madaktari bingwa ikiwemo watoa huduma ya magonjwa ya damu (Haematology) takribani nchi zipatazo 15 barani Afrika wanaojadili changamoto wanazokumbana wakati wa utoaji wa huduma ya magonjwa ya damu (Haematology). 

Aidha Prof. Makani amesema kuwa mpaka sasa Tanzania imeweza kujitahidi kufanya jitihada za kipekee katika utoaji wa huduma japo changamoto inayowakumba ni uhaba wa wataalam zaidi wanaopenda kusomea utoaji wa huduma ya magonjwa ya damu (Haematology). 
Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Damu (Haematology), MUHAS Prof. Julie Makani (kulia) akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio ya kongamano la kwanza la wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) linalokutanisha watalaam wa Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla. Pembeni yake ni Msimamizi wa Mafunzo hayo Prof. Lucio Luzzatto. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Msimamizi wa Mafunzo ya Wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) Prof. Lucio Luzzatto akionyesha chembe chembe zinazosababisha upungufu wa tamu mwilini wakati wakizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam. 
Wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) kutoka mataifa mbalimbali duniani ikiwemo bara la Afrika wakiwa katika sherehe ya kukaribishwa nchini Tanzania. 



Hivyo makala TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA

yaani makala yote TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tanzania-yangara-kongamano-la-wataalamu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZANIA YANG'ARA KONGAMANO LA WATAALAMU MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA"

Post a Comment

Loading...