Loading...
title : DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA
link : DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA
DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali na Mashekhe wa Mkoa wa Kusini Unguja katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,ambapo Swala hiyo imeongozwa na Sheikh Suleiman Haji Ibrahim
Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,ambapo Sheikh Suleiman Haji Ibrahim(hayupo pichani) aliongoza Swala hiyo,iliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya akinamama waliojumuika katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja
Sheikh Abdalla Issa Makame (kulia) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja akisoma Khutba mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika uwanja wa Jamhuri Makunduchi
Hivyo makala DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA
yaani makala yote DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dkt-shein-aongoza-swala-ya-eid-el-hajj.html
0 Response to "DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA"
Post a Comment