Loading...

Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

Loading...
Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni
link : Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

soma pia


Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

Na Andrew Chale, Dar

Tamasha kubwa na la aina yake la muziki wa Kiafrika maalum kumuenzi gwiji wa muziki Hayati Dk. Remmy Ongala lililopewa jina la ONGALA MUSIC FESTIVAL, linatarajiwa kulindima kwa mara ya kwanza kuanzia hapo kesho katika fukwe mwanana za Malaika Beach Club, Kigamboni, Agosti 23-25.

Akizungumza Mratibu wa tamasha hilo Bi. Aziza Ongola anaesimamia mfuko wa Ongala (Ongala Foundation), amesema tayari maandalizi yote yameenda vizuri na watu wakae mkao wa kulishuhudia tamsha hilo ambalo ni la urithi wa muziki kutoka kwa gwigi Dk. Remmy.

Aziza amesema kuwa, Wasanii mbalimbali kutoka Nchi tofauti za Afrika na bendi zao watatoa burudani kwa muda wa siku tatu yaani kuanzia Agosti 23-25,2018 katika fukwe hizo za Malaika, Kigamboni.

“Tutamuenzi Baba kupitia nyimbo zake nyingi ambazo zimekuwa na umaarufu ndani na nje ya Afrika. Hivyo tamasha ili ni kuamsha hali ya Muziki aliouacha na pia kuendelea kumkumbuka kupitia mashairi yake” alieleza Aziza.Aziza ameongeza kuwa, tamasha hilo pia litasaidia kuimarisha kumbukumbu na kazi za gwiji huyo aliyefariki Desemba 2010, Nchini.

Kwenye tamasha hilo vikundi 22 kutoka nchi mbalimbali za Afrika vitatumbuiza kwa siku hizo tatu.Miongoni mwa wasanii hao ni msafiri Zawose, Ally Swahi, Siti and the Bend, Hokororo, King kiki na Sikinde. Pia atakuwepo Ashimba, Carola Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

Tamasha kubwa na la aina yake la muziki wa Kiafrika ambalo ni maalum kumuenzi gwiji wa muziki Hayati Dk. Remmy Ongola lililopewa jina la ONGALA MUSIC FESTIVAL, linatarajia kulindima kwa mara ya kwanza kuanzia hapo kesho katika fukwe mwanana za Malaika Beach Club, Kigamboni.

Akizungumza Mratibu wa tamasha hilo Bi. Aziza Ongola anaesimamia mfuko wa Ongala (Ongala Foundation), amesema tayari maandalizi yote yameenda vizuri na watu wakae mkao wa kulishuhudia tamsha hilo ambalo ni la urithi wa muziki kutoka kwa gwigi Dk. Remmy.



Hivyo makala Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

yaani makala yote Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ongala-music-festival-kulindima-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni"

Post a Comment

Loading...