Loading...
title : JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
link : JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
Na Emanuel Madafa ,Michuzi Blog -Mbeya
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limeanzisha Msako wa kuwakamata watu wanaodaiwa kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji huko katika Kijiji cha Ngole Kata ya Ilungu Wilaya ya Mbeya, Jeshi hilo tayari limeanza kutekeleza agizo hilo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Urlich Matei amesema zoezi hilo ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya .
Amesema Agost 15 mwaka huu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akiwa katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, alitoa agizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwenda kukamata wananchi wanaodaiwa kuvamia na kuharibu mradi wa maji wa kijiji jirani.
Amesema kufuatia agizo hilo, Jeshi la Polisi limeanza msako katika cha kijiji cha Ngole kuhakikisha wale wote waliohusika na uharibifu huo wanakamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi.
Inadaiwa kuwa uharibifu uliofanywa na wananchi hao ni kukata mabomba yaliyokuwa yametandazwa kuanzia kwenye chanzo cha maji kwenda kwenye makazi ya Kijiji jirani wakitumia vifaa mbalimbali yakiwamo majembe na mapanga.
Hivyo makala JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU
yaani makala yote JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/jeshi-la-polisi-mbeya-laanzisha-msako.html
0 Response to "JESHI LA POLISI MBEYA LAANZISHA MSAKO WA KUWAKAMATA WATU WANAODAIWA KUFANYA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU"
Post a Comment