Loading...

Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

Loading...
Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu
link : Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

soma pia


Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

 Kamishna wa Huduma za Parole,Viwanda, Huduma za jamii na Programu za Urekebishaji Af. Augustine Mboje  Sangalali(suruali nyeupe) akisalimiana na Mkuu wa Kilimo,Mifugo na Utunzaji wa Mazingira, Kamishna Msaidizi  Mwandamizi wa Magereza Mlasani Deodath Kimaro, alipotembelea Banda la Magereza katika maonesho ya Nane nane yanayofanyika Kitaifa Nyakabindi,Wilayani Bariadi mkoa wa Simiyu.
 Sajini Caroline Mtolera wa Jeshi la Magereza akimuelezea Af. Kamishna Mboje namna ya kutunza mazingira kwa kutengeneza mkaa kwa kutumia mabaki ya taka ngumu.

 Kamishna Mboje akipata maelezo ya shamba darasa toka kwa Mrakibu Msaidizi wa Magereza Nimwindaeli Mzirai alipotembelea banda la Magereza kwenye Nane nane inayofanyika Nyakabindi,Bariadi Mkoani Simiyu.
 Sajini Mateso Alex Linze wa Magereza akimuelezea Kamishna Mboje jinsi ya utunzaji Samaki kwa njia ya kisasa huku banda la kuku likiwa juu ya bwawa la samaki hao.

 Sajini Mahimbo Dafa akimuelezea Kamishna Mboje njia bora na sahihi ya Uhamilishaji wa mbegu za ng’ombe ili kupata mifugo ya kisasa na yenye afya.
Wada Mwinyi  Onanda wa Magereza akimunesha na kumuelezea  Kamishna Af. Mboje mazao mbalimbali yanayolimwa na Magereza mbalimbali kama njia ya urekebishaji wa wafungwa. Picha na Jeshi la Magereza


Hivyo makala Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

yaani makala yote Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/kamishna-mboje-atembelea-banda-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu"

Post a Comment

Loading...