Loading...

MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA

Loading...
MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA
link : MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA

soma pia


MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini,

MADIWANI wanne kutoka  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika manispaa ya Moshi  pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi wamejitokeza kumuunga mkono Diwani wa kata ya Shirimatunda ,Francis Shio (Chadema) kuhamasisha uchangiaji katika shughuli za maendeleo.
Madiwani waliojitokea katika mkutano maalumu wa Diwani  kata na wananchi wa kata hiyo ,ni pamoja na Diwani wa kata ya Soweto,Collins Tamimu,Diwani wa kata ya Njoro na Naibu Meya wa manispaa ya Moshi,Jomba Khoi ,Diwani wa kata ya Ng’ambo Genesis Kiwhelu na Diwani wa kata ya Kiboriloni ,Frank Kagoma.
Akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ofisi ya kata ya Shirimatunda  ,Diwani wa kata ya Shirimatunda ,Fransic Shio alisema maendeleo ya wananchi katika maeneo yao yataletwa na wananchi wenyewe na si itikadi za kisiasa kama baadhi ya wanasiasa wanavyoamini.
“Shirimatunda yetu ni ya kwanza kuliko vitu vingine,haya ninayo yasema ni ya uwazi tukikubali kuyaingiza mambo ya kisiasa katika maendeleo ya kata yetu ,yapo mambo mengi sana yatasimama  ,ni lazima kaul yetu ya wana Shirimatunda,umoja ya wana Shirimatunda na amani yetu tuweze kuilinda kwa gharama yoyote”alisema Mh Shio.
Shio aliwataka wakazi wa Shirimatunda kuwaondoa katika misingi ya umoja wa wakazi wa kata ya Shirimatunda huku akiwaomba kupitishwa azimio la kuchangisha fedha kwa kila familia katika kata hiyo kutoa kiasi cha Sh 10000 kwa ajili ya ujenzi wa darasa la wanafunzi wa shule ya awali.
Kwa upande wao ,Madiwani waliofika kumuunga mkono Diwani huyo,walisema ili kushawishi wadau mbalimbali pamoja na serikali kujitokeza kuchangia maendeleo katika kata hiyo wakazi wa eneo hilo wanapaswa kuwa wa kwanza katika kuchangia.
“Mgeni akija nyumbani akakuta wewe mwenyewe hujielewi ,hata kama amekuja na zawadi atarudi nayo ,watu wa Shirimatunda wanaangaliana nani anatoa nini ,endapo kila mkazi wa Shirimatunda akiguswa na hiki tunachokifanya basi angechangia katika eneo hili la elimu”alisema Diwani Kagoma.
Diwani wa kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi,Fransic Shio (CHADEMA) akizungumza wakati wamkutano wa kata uliolenga kujadili masuala ya maendeleo pamoja na kutambulisha wajumbe wanaounda kamati ya maendeleo ya kata hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro,Patrick Boisafi akizungumza katika mkutano wa kata ya Shiriamtunda ambapo yeye amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya kata hiyo.
Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi .
Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi na Diwani wa kata ya Njoro,Jomba Khoi akizungumza katika mkutano huo ambapo yeye na madiwani wenzake walifika kumuunga mkono Diwani wa kata hiyo katika kuchangia shuhghuli za maendeleo .



Hivyo makala MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA

yaani makala yote MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/madiwani-wanne-wa-chadema-moshi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA"

Post a Comment

Loading...