Loading...

Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu.

Loading...
Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu.
link : Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu.

soma pia


Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amesema Serikali inaratibu vyema upatikanaji vibali vya kuagiza nyavu bora kwa ajili ya shughuli za uvuvi.

Ulega ametoa kauli jana katika mkutano wa hadhara na wakazi wa kisiwa cha Gana kilichopo wilayani Ukerewe alipofanya ziara ya kutembelea na kusikiliza kero za uvuvi.

Ulega ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga amewaeleza wanakisiwa hao wa Gana kuwa Serikali imeshaanza kutoa vibali vya kuagiza nyavu kwa utaratibu unaofaa.

Wakazi hao walitumia fursa hiyo kumuuliza Ulega kuhusu hatima ya samaki aina ya Furu, Gogogo, Nembe na Ningu ambao hawatajwi na sheria ya uvuvi.

Ulega amewajibu "Serikali inaanda muongozo utakaowasaidia kuvua samaki hawa kwa uhuru " amesema .Pia amewataka wavuvi wa Gana wajiunge kwenye vikundi vya ushirika ili wapekelekewa mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Taifa ya Jamii (NSSF) wa wavuvi skimu.

"Mradi huu utakaokopesha na utawasaidia kuimarisha shughuli zao kupitia vikundi watakavyoviunda,"amesema Ulega.
Pichani kati ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wa chama cha CCM,Ulinzi na usalama wilaya,wakienda kwenye mkutano mara baada ya kuwasili katika kisiwa cha Ghana wilayani Ukerewe Pichani kati ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wa ulinzi na usalama wilaya,wakiwa ndani ya boti kueleka kisiwa cha Ghana wilayani Ukerewe kukutana na wananchi wakiwemo wavuvi katika ziara yake ya kutembelea na kusikiliza kero zao 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akizungumza na Wananchi wa kisiwa cha Ghana wilayani Ukerewe katika mkutano wa hadhara,alipofanya ziara ya kutembelea na kusikiliza kero za Wavuvi 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akiagana na baadhi ya viongozi (hawapo pichani),wakati akipanda boti kuelekea kisiwa cha Ghana wilayani Ukerewe kukutana na wananchi wakiwemo wavuvi katika ziara yake ya kutembelea na kusikiliza kero za Wavuvi hao. 


Hivyo makala Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu.

yaani makala yote Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/serikali-yawatoa-hofu-wavuvi-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali yawatoa hofu wavuvi kuhusu vibali vya nyavu."

Post a Comment

Loading...