Loading...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme

Loading...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme
link : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme

Mabaki ya Nyumba ya Marehemu Maalim Rajab Mzee iliyopo Mtaa wa Rahaleo ambayo iliungua moto mapema asubuhi uliosababishwa na Hiter ya Umeme.
Wa kwanza na wa Pili kutoka Kulia ni miongoni mwa Watoto Tisa wa Familia ya Marehemu Maalim Jaba Mgeni wa Nyumba iliyoungoa Moto mapema asubuhi katika Mtaa wa Rahaleo wakimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mkasa uliowapata wa kuunguliwa Nyumba yao.
Balozi Seif akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kutoa pole na kuisisitiza Jamii kuwa na tahadhari ya matumizi salama ya huduma za Umeme ili kuepuka maafa.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud wakifika katika eneo la tukio kuifariji na kuipa pole Familia ya Watoto Tisa ya Marehemu Maalim Rajab Mzee kufuatia Nyumba yao kuungua Moto.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari kubwa wakati wa matumizi ya vifaa vya umeme ili kuwepuka madhara yanayoweza kuleta maafa makubwa hapo baadae.

Alisema Huduma ya umeme ni nzuri na muhimu katika matumizi ya mwanadamu kwenyea harakati zake na kimaisha za kila siku lakini inaweza kuwa janga iwapo mwanaadamu huyo ataamua kutumia huduma hivyo ovyo.

Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo muda mfupi tu alipopata taarifa ya kutokea kwa Janga la Moto katika Nyumba ya Familia ya Marehemu Maalim Rajab Mgeni iliyopo Rahaleo mbele ya Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Muembe Shauri.

Hata hivyo hakuna mtu aliyepata matatizo kutokana na mripuko wa moto huo uliosababishwa na kuungua kwa Hita iliyokuwemo kwenye Nyumba hiyo ambayo wakati inawaka alikuwemo Kijana Mmoja wa familia ya Marehemu Maalim Rajab Mgeni.

Alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuzingatia umuhimu wa kulinda maisha na mali za Rais imeazimia kujenga Vituo vya Huduma za Zimamoto kila Wilaya kwa lengo la kuwa tayari wakati yanapojitokeza matukio ya majanga.

“ Umeme tunaupenda sana katika matumizi yetu ya kawaida ya kila siku lakini pia unahatari iwapo hatutakuwa makini katika matumizi yake ya ovyo”. Alisisitiza Balozi Seif.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alikipongeza Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar kwa umakini wake uliopelekea kuuzima moto huo kwa dakika chake na kuepusha maafa ya kuendelea kuathiri nyumba zilizo jirani na eneo hilo.


Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar_24.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ameinasihi Jamii Nchini kuwa na tahadhari na matumizi ya umeme"

Post a Comment

Loading...