Loading...
title : UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI
link : UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI
UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI
TOKEA April mwaka huu 2018 utaratibu wa kusajili kampuni umebadilika. Ni tofauti kabisa na ambavyo tulizoea.Hata hivyo, yapo mambo ambayo yamebaki vile vile kama awali, kadhalika yapo mengi pia yaliyobadilika.
Tutapitia utaratibu wa awali kidogo na huu mpya.
UTARATIBU WA AWALI.
a ). Ulikuwa unatakiwa kuandika barua kuuliza jina unalotaka kutumia kama jina la kampuni iwapo lipo au hapana. Kama lipo ungetakiwa kuleta jingine, na kama halipo ulikuwa unapewa ruhusa ya kulitumia katika usajili.
b ).Ulikuwa unatakiwa kuandaa waraka na katiba ya kampuni(article and
memorandum of association). Zilikuwa zinatakiwa kwa uchache angalau nakala nne.
C ) Ulikuwa unatakiwa kupakua fomu namba 14(a) na 14( b ) kutoka kwenye
mtandao wa BRELA, au kuzifuata fomu hizo hapohapo BRELA ambapo ungetakiwa kuzijaza kisha kuzisaini.
d ) Kisha ulikuwa unatakiwa kubeba hizo nakala za waraka na katiba ya kampuni, pamoja na hizo fomu zilizojazwa na kuzipeleka BRELA mnazi mmoja jengo la ushirika kwa ajili ya usajili.
e ) Huko BRELA, baada ya kuzipitia na kuona hazihitaji masahihisho sasa
ungepewa ruhusa ya kulipia ambapo malipo yalikuwa yakifanyika kupitia benki ya CRDB.
f ) Baada ya hapo ungetakiwa kusubiri kipindi cha wiki moja au wiki na
sikukadhaa, au wiki mbili ili uweze kupatiwa cheti rasmi cha usajili wa
kampuni(certificate of incorporation).
KUSOMA ZAIDI sheriayakub.blogspot.com
Hivyo makala UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI
yaani makala yote UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/utaratibu-mpya-wa-kusajili-kampuni.html
0 Response to "UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI KAMPUNI"
Post a Comment