Loading...

MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

Loading...
MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
link : MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

soma pia


MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

 Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuelezea  Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe  orodha ya Maspika waliowahi kuongoza Bunge pamoja na Kumbi zilizowahi kutumika kuendesha vikao vya Bunge.Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
 Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuonyesha  Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe kitabu cha Viapo vya Waheshimiwa Wabunge cha miaka iliyopita. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
 Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuonyesha  Mstahiki  Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe vazi la Spika pamoja na kumuelezea historia ya vazi hilo. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akitoa elimu kwa umma kuhusiana na Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Awali ya Taqwa wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma.


Hivyo makala MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

yaani makala yote MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mambo-katika-banda-la-ofisi-ya-bunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...