Loading...

MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI

Loading...
MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI
link : MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI

soma pia


MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

TIMU ya wanawake kutoka jimbo la Manonga Wilayani Igunga, Mkoani Tabora itaingia rasmi kambini kesho Augusti 13, 2018 kujiandaa na michezo ya kirafiki ili kujiweka sawa na michuano ya ligi daraja la kwanza Tanzania bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6 mwaka huu.

Akizungumza na Blogu ya jamii msimamizi wa kambi hiyo Bi. Pendo Ndaki ambaye pia ni Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Ziba ameeleza kuwa Manonga Queens ipo katika hali nzuri sana na wapo tayari kwa mashindano hayo.Ameeleza kuwa timu hiyo inayojiandaa na ligi daraja la kwanza nchini tayari imeanza kujifua vikali kabla michuano hiyo kuanza kwa kuanza kucheza mechi za kirafiki.

Aidha mlezi wa timu hiyo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Manonga Mh. Seif Khamis Gulamali ameeleza kuwa wamejidhatiti kufuzu kati ya timu mbili zitakazopanda daraja na Ametoa gharama zote za awali kwa ajili ya kambi hiyo ya maandalizi.

Mh.Gulamali amehimiza wadau wengine kujitoa zaidi kwa timu hiyo ili iweze kung'ara kwa kutoa ushirikiano wa hali na mali.Timu 18 zimethibitisha kushiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa Wanawake litakaloanza Septemba 6, mwaka huu.

Ligi hiyo itachezwa katika mfumo wa makundi na timu 2 zitapanda daraja wakati zitakazobaki zitasalia kwenye ligi daraja la Kwanza. 

Timu zilizothibitisha ushiriki wao ni:

1.Yanga Princes -Dar es Salaam
2.TSC - Mwanza 
3.Mapinduzi Princess -Tanga 
4.Migoli Queens -Iringa 
5.Ruangwa Queens -Lindi 
6.Viva FC -Mtwara 
7.Singida Warriors -Singida
8.Katoro Queens -Geita 
9.Victoria Queens -Kagera 
10.Tanzanite FC -Arusha 
11.Mapinduzi Queens -Njombe 
12.Allans Queens -Dodoma 
13.Manonga Queens -Tabora
14.Abeehe Bha Kyela FC -Mbeya
15.Kisarawe Queens -Pwani 
16.Testimony -Kilimanjaro 
17.Mbinga Queens -Ruvuma 
18.Kizuka Sekondari -Morogoro 

Timu hizo shiriki ni kwa mujibu wa Afisa habari wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Cliford Mario Ndimbo.


Hivyo makala MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI

yaani makala yote MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/manonga-queens-kuingia-kambini-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MANONGA QUEEN'S KUINGIA KAMBINI KESHO KUJIANDAA NA LIGI DARAJA LA KWANZA KWA WANAWAKE NCHINI"

Post a Comment

Loading...