Loading...
title : MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU
link : MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU
MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akiagana na Mkaguzi wa Magereza Godfrey Mpagike(kulia) ambaye ni miongoni mwa maofisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza ambao wanatarajia kuondoka Agosti 16, 2018 kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu kwa mkataba wa miaka miwili.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Maafisa hao wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza(walioketi) na askari wa Jeshi hilo vyeo mbalimbali(waliosimama mstari wa nyuma) mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Jumla ya maafisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili
Maafisa wa Jeshi la Magereza ambao wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu kwa mkataba wa miaka miwili wakijadiliana jambo mara baada ya kuagana rasmi na Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo.
Hivyo makala MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU
yaani makala yote MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/maofisa-magereza-20-kwenda-nchini.html
0 Response to "MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU"
Post a Comment