Loading...
title : MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.
link : MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.
MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.
Mchezaji taekwondo wa Polisi Tanzania mkaguzi wa Polisi (INSP) Danny ameshika
nafasi ya kwanza kwa mchezo wa uzito wa juu katika michezo ya karate ya TaeKwondo kwenye michezo ya EAPCCO inayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es Salaam
Naibu kamishna wa Polisi (DCP) Ahmada Khamisi akikabidhi kobe kwa mshindi wa mchezo wa Taekwondo kutoka Polisi Kenya katika michezo ya EAPCCO GAMES yanayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es SALAAM.
Wachezaji wa mchezo wa Taekwondo kutoka Polisi Rwanda wakishagilia ushindi wa kwanza wa ujumla baada ya kupata vikombe viwili katika mchezo huo. Picha zote na Jeshi la Polisi
Hivyo makala MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.
yaani makala yote MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/michezo-ya-shirikisho-la-wakuu-wa.html
0 Response to "MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM."
Post a Comment