Loading...
title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
link : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akiwapungia mikono vijana wakati walipokuwa akipokea maandamano ya vijana, yalioanzia Machomanne hadi Uwanja wa Gombani mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza wakati wa siku ya Vijana duniani huko katika uwanja wa michezo Gombani.
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali karume, akizungumza na vijana mbali mbali wa kisiwa cha Pemba katika shamra shamra kuelekea siku ya Vijana Duniani huko katika viwanja vya Gombani Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/matukio-ya-picha-kisiwani-pemba.html
0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba"
Post a Comment