Loading...

Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi.

Loading...
Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi.
link : Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi.

soma pia


Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi.


Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekabidhi  Pikipiki ishirini na saba (27) aina ya Honda kwa Maofisa elimu kata  kutoka kata zote ishirini na saba (27)  za Halmashauri ya Wilaya Mufindi Mkoani Iringa.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi Pikipiki hizo Mkuu wa Wilaya Mufindi Mhe. Jamhuri David William, amesema Pikipiki hizo zimefika kwa wakati muafaka ili kurahisisha jukumu la ufuatiliaji na usimamizi wa elimu katika Halmashauri.
“Mmepata usafiri huu ambao utachangia kutatua changamoto za kufanya kazi zenu hivyo, hatutaki kuona utoro unaendelea, hatutaki kuona mimba zinandelea hasa katika shule za sekondari, sasa hatuna sababu ni lazima tuhakikishe elimu inakua bora zaidi na ufaulu wetu kitaifa kama Halmashauri unapanda” alisema Mhe William.
Aidha, Mhe. William, ametoa wito kwa Maofisa elimu kata kuhakikisha wanazitunza Pikipiki hizo na kusisitiza kwamba usafiri huo sio kwa ajili ya kufanyia biashara ya bodaboda bali zifanye kazi iliyokusudiwa.
Pikipiki zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya Maafisa Elimu Kata Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa
Mkuu wa Wilaya Mufindi Mhe Jamhuri David William (kushoto)  akizindua pikipiki zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya Maafisa Elimu Kata. Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mufindi Mhe Festo Mgina na anyefuatia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bw Issaya Mbenje.  


Hivyo makala Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi.

yaani makala yote Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/serikali-yakabidhi-pikipiki-27-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali yakabidhi Pikipiki 27 kwa Maofisa Elimu Kata Halmashaauri ya Wilaya Mufindi."

Post a Comment

Loading...