Loading...
title : MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA
link : MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA
MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) pamoja na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani ,Ramadhani Maneno, wakishiriki katika nguvu kazi ya ujenzi wa kituo cha afya Kirongwe wilayani Mafia ,wakati wa ziara ya kamati hiyo kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka miwili na nusu ya uongozi wa serikali ya awamu ya tano. Kuanza kwa ujenzi huo imetokana serikali kutoa kiasi cha sh. milioni 500 kwa ajili ya ujenzi huo ambao utakapokamilika kituo kitahudumia takribani wakazi kutoka vijiji vingi vinavyozunguka kata ya Kirongwe .(picha na Mwamvua Mwinyi). 
Sehemu ya ujenzi wa mradi wa maji safi na salama ,(inayoonekana pichani),unaojengwa kijiji cha Jibondo ,wilayani Mafia,mkoani Pwani ,ambao utakapokamilika utakaogharimu karibia bilioni mbili .(picha na Mwamvua Mwinyi).
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akibeba ndoo ya samaki kumimina katika beseni la mama ambae anauza biashara ya samaki kwenye mwalo wa samaki wilayani Mafia.(picha na Mwamvua Mwinyi).

Hivyo makala MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-mkoa-wa-pwani-mhandisi-ndikilo.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA"
Post a Comment