Loading...

Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu

Loading...
Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu
link : Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu

soma pia


Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu

 Kiongozi wa Msafara wa wachezaji waliyokwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia ambaye Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Yusuph Singo akizungumza na kwa waandishi wa habari (hawapo picha)kuhusu hali ya mashindano pamoja na suala la mchezaji mmoja kutoroka kambini  mara baada ya kuwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa Jijini Dar es Salaam.

 Bondia Selemani Kidunda (wa kwanza) akiwasilini leo jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Australia ambapo alikwenda kwa ajili ya Mashindano ya Jumuiya ya Madola  nyuma yake ni Bondia mwenzie Haruna Swanga.
 Mwanariadha wakike Bi.Sara Ramadhani akiwa amewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini Australia ambapo alikwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola na ameshika nafasi ya tisa katika mbio za Kilometa 42.
Kapteni wa Timu ya wachezaji waliyokwenda nchini Australia katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola Bw.Masoud Mtalaso (kulia) akirejesha bendera aliyokabidhiwa wakati wanakwenda katika mashindano kwa Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Alex Nkenyenge (kushoto) mara baada ya kurejea nchini leo jijini Dar es Salaam. Na Anitha Jonas – WHUSM



Hivyo makala Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu

yaani makala yote Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/timu-ya-tanzania-kwenye-mashindano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia yarejea mikono mitupu"

Post a Comment

Loading...