Loading...
title : Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA
link : Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA
Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeshauriwa kuongeza kasi na kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika kutekeleza mipango mkakati iliyojiwekea ili kuokoa muda wa kutoa huduma na kufikia malengo yake.
Kauli hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao, Dkt. Jabir Kuwe Bakari wakati alipokua akiwasilisha mada juu ya matumizi ya TEHAMA, katika mafunzo ya utawala bora yaliyohusisha wajumbe wa bodi , wakurugenzi, wakuu wa idara pamoja na mameneja majengo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa Dkt. Jabiri, mifumo ya TEHAMA inasidia kuwasiliana kwa wakati kutoka upande mmoja na mwingine tofauti na mfumo wa kutumia karatasi katika kutekeleza majukumu mbalimbali.
Kutokana na umuhimuwa TEHAMA, amewashauri viongozi hao kuboresha mifumo ya TEHAMA kwa kutumia watalaam ambao wanaujuzi wa kutosha ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia.
“Kama nyie wenyewe mtaweza kutengeneza mfumo wa TEHAMA itakua rahisi kuboresha ama kurekebisha pale inapotokea hitilafu, tofauti na kwenda kununua mfumo kutoka nje kwani hutojua ametumia utaalam gani kutengeneza mfumo huo,’’ amesema Dkt. Jabiri.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao, Dkt. Jabir Bakari akitoa mada kwenye mafunzo ya uongozi bora yaliowahusisha viongozi mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Baadhi wakurugenzi, wakuu wa idara, wakuu wa vitengo na mameneja wa majengo wakiwa kwenye mafunzo hayo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru akipongezwa na Dkt. Kassim Hussein kutoka Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT) baada ya Dkt. Bakari kumkabidhi cheti baada ya mafunzo hayo kufungwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa hospitali hiyo, Prof. Charles Majinge.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja Muhimbili, Aminiel Aligaesha akipokea cheti kutoka kwa Dkt. Bakari baada ya mafunzo hayo.
Hivyo makala Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA
yaani makala yote Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/muhimbili-yashauriwa-kuwekeza-zaidi.html
0 Response to "Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA"
Post a Comment