Loading...

TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

Loading...
TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI
link : TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

soma pia


TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI


WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi amezindua mpango wa kupimwa jumla ya vijiji 392 vinavyopakana na hifadhi za Taifa nchini kwenye mikoa mitano kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi katika maeneo hayo.

Waziri Lukuvi akizungumza katika uzinduzi huo, uliofanyika Babati mkoa wa Manyara alisema mpango huo utasaidia kutatua migogoro baina ya vijiji na hifadhi lakini pia vijiji kuwa na mpango wa matumizi bora ya ardhi.

Alisema, katika mpango huo, awamu ya kwanza itahusisha vijiji 95 katika mikoa mitatu nchini ila lengo ni kufikia mikoa mitano ya Manyara, Mara, Simiyu, Dodoma na Arusha.

“Vijiji hivi vikipimwa vitakuwa na mpango wa matumizi bora ya ardhi ambapo maeneo ya makazi yatajulikana maeneo ya mifugo na maeneo ya kilimo yatatengwa” alisema .Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga,alisema Wizara hiyo, imejipanga kushirikiana na Wizara ya ardhi na wadau wengine kutatua migogoro ya ardhi.

Alisema mpango wa kupima vijiji 392 vinavyopakana na TANAPA utakuwa ni shirikishi na utasaidia sana kutatua migogoro ya uhifadhi lakini utasaidia vijiji. “Katika mpango huo,zitatolewa hati 2375 ambazo zitasaidia wananchi kumiliki maeneo yao” alisema.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza mjini Babati jana kwenye kikao cha uzinduzi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za Taifa, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga. 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza mjini Babati kwenye uzinduzi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za Taifa uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. 
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti (kulia) akimuongoza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi kwenye uzinduzi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za Taifa jana mjini Babati. 
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza mjini Babati kwenye uzinduzi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za Taifa uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. 



Hivyo makala TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

yaani makala yote TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tanapa-wazindua-mpango-wa-matumizi-bora.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI"

Post a Comment

Loading...