Loading...
title : Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana
link : Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana
Makamu wa Rais wa Botswana Mhe Slumber Tsogwane akipata picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Tendaji na viongozi mashuhuri huko Gaborone Botswana.


Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akibadilishana mawazo na Mhe Maria Ndilla Kangoye ambae ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Kanda ya Afrika na pia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mabunge wanachama wa nchi za Jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said pamoja na Katibu wa tawi hilo ambae pia ni katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Msellem wakisikiliza mada zinazojadiliwa.
Mwenyekiti wa kamati tendaji ya nchi wanachama wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola Mhe Simai Mohammed Said akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza kutoka Rodrigues Regional Assembly Mauritius Mhe Marie Pricie Anjela Speville, katikati ni Makamu wake Mhe Ramdally Jean Rex.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana
yaani makala yote Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/naibu-spika-wa-baraza-la-wawakilishi.html
0 Response to "Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola, Botswana"
Post a Comment