Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO
link : RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO
RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akizungumza na wanakijiji wa Rubambagwe plot (Chato) wakati alipokwenda kutoa pole kwenye msiba wa Patricia Tibengana Mazigo (75) aliyefariki juzi tarehe 16-8-2018 Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwafariji wafiwa wakati alipokwenda kutoa pole kwenye msiba wa Patricia Tibengana Mazigo (75) aliyefariki juzi tarehe 16-8-2018 Chato mkoani Geita.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rais-dkt-magufuli-ahani-msiba-wa-bi.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO"
Post a Comment