Loading...
title : NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza
link : NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza
NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza

Mwenyekiti wa Bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe akitoa maelezo juu ya mradi wa kuunganisha matrekta unaotekelezwa hapa nchini chini ya NDC wakati wa uzinduzi wa Uuzaji Trekta hizo mkoa wa Mwanza katika eneo la Viwanda Makuyuni.( 16.08.2018)
Mwakilishi kutoka Bneki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Bw Steven Kang’ombe akitoa maelezo ya namna ya kupata mikopo ya ununuzi wa Trekta za URSUS wakati wa uzinduzi wa uuzaji Trekta hizo mkoa wa Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg John Mongella akibadilishana mawazo na viongozi mbalimbali wa Serikali wakati wa Uzinduzi wa Uuzaji wa Trekta za URSUS mkoa wa Mwanza katika eneo la Viwanda Makuyuni jana (16.08.2018)
Hivyo makala NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza
yaani makala yote NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ndc-wazindua-uuzaji-wa-trekta-za-ursus.html
0 Response to "NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza"
Post a Comment