Loading...

NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA

Loading...
NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA
link : NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA

soma pia

NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA

Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Stephen Elisante akimtazama mmoja wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi aliyekua akifunga kituturi cha kupigia Kura leo jijini Dodoma wakati wa mafunzo kwa vitendo ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018.
Mafunzo kwa Vitendo yanayoendeshwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yakiendelea jijini Dodoma kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi akichangia na kuuliza maswali wakati wa wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara. 

Hivyo makala NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA

yaani makala yote NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/nec-yaendelea-kutoa-darasa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEC YAENDELEA KUTOA DARASA KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...