Loading...

RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA

Loading...
RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA
link : RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA

soma pia


RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Viongozi mbali mbali na wanadiaspora katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.
Baadhi ya Wanadiaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzanao pamoja na Viongozi mbali mbali katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakipiga makofi baada ya wimbo wa Taifa wa Zanzibar,Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioimbwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba

Baadhi ya Wanadiaspora wakisimama wakati Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Tanzania wakati wa Uzinduzi wa   Kongamano la la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipowasili katika uzinduzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi katika kiwanja cha Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.


Hivyo makala RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA

yaani makala yote RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rais-shein-azindua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA"

Post a Comment

Loading...