Loading...
title : RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i.
link : RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i.
RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i.
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi.
Aidha RC Makonda amesema anachokitaka kwa sasa ni kuona vilabu vya Jogging vinashiriki shughuli za uzalishaji Mali ili wajikwamue kiuchumi na wasipate muda wa kushiriki matukio ya uhalifu kama uporaji, ubakaji na matumizi ya dawa za kulevya.
RC Makonda amesema kila baada ya miezi miwili yatakuwa yakifanyika mabonanza makubwa ya Jogging hivyo amezitaka kila wilaya kujiandaa.
Pamoja na hayo RC Makonda amewataka vijana mkoani kwake kuchangamkia fursa zote halali zinazopatikana Dar es salaam kwakuwa mkoa huo Ndio chimbuko la mafanikio kwa wengi huku akiwahimiza kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
Hata RC Makonda hivyo amewaomba Vijana wa Jogging kuwa mstari wa mbele kuwafichua waharifu ili Dar es salaam iendelee kubaki kuwa jiji lenye amani na usalama wakati wote.
Hivyo makala RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i.
yaani makala yote RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/rc-makonda-aviwezesha-kiuchumi-vikundi.html
0 Response to "RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI i."
Post a Comment