Loading...

SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN

Loading...
SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN
link : SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN

soma pia


SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN

Timu ya vijana Tanzania chini ya miaka 17 kushinda kwa mabao 5-0 dhidi ya Sudan.

Serengeti Boys imeangusha kipigo hicho maridadi dhidi ya Sudan katika  michuano ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Kwa ushindi huo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Serengeti Boys imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano hiyo.

Ushindi huo mnono wa mabao matano, unaifanya Serengeti Boys ifikishe pointi sita baada ya mechi mbili na kupanda kileleni, Rwanda yenye pointi sita imeporomoka, huku Serengeti ikisaidiwa na wastani wao mzuri wa mabao


Hivyo makala SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN

yaani makala yote SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/serengeti-boys-yaichapa-bao-5-sudan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERENGETI BOYS YAICHAPA BAO 5 SUDAN"

Post a Comment

Loading...