Loading...
title : SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA
link : SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA
SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge yalioyoanza leo katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, akifurahi kwa pamoja na Maspika wastaafu Mhe. Anna makinda (wa kwanza kushoto) ,Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Pandu Kificho, Mhe. Pius Msekwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuber A Malulid, wa mwisho ni Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson. Waheshimiwa Maspika wastaafu wamehudhuria mafunzo ya Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge yalioyoanza leo katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, akiwa Katika picha ya pamoja washiriki wa mafunzo ambao ni Kamati ya Uongozi ya Bunge, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa Tume ya utumishi ya Bunge. waliokaa mbele wa kwanza ni Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Kificho, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuber Ali Maulid, Spika Mstaafu Mhe. Anna Makinda, Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa na Katibu wa Bunge Mhe. Stephen kagaigai. Mafunzo hayo yameanza leo katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar
Hivyo makala SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA
yaani makala yote SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/spika-afungua-mafunzo-ya-kamati-ya.html
0 Response to "SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KAMATI YA UNGOZI ZANZIBAR. MAASPIKA WASTAAFU WAHUDHURIA KUTOA MADA"
Post a Comment