Loading...

VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE

Loading...
VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE
link : VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE

soma pia


VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amepokea ugeni wa viongozi mbalimbali wa Jiji la Kampala nchini Uganda wakiongozwa na Waziri wa Jiji hilo Bennie Namugwanya Bugembe ambao wamekuja kujifunza na kupata uzoefu wa kuendesha na kusimamia shughuli za Jiji.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Meya Mwita amesema anaamini viongozi hao kuna mambo mengi watajifunza kwa kipindi ambacho watakuwa katika Jiji hilo huku akiwahakikisha watapata kila wanachokitaka.

Mwita amesena kuna mambo mengi mazuri ambayo yanefanyika na yanaendelea kufanyika katika Jiji la Dar es Salaam hivyo viongozi hao wa Jiji la Kampala kuna mambo watajifunza kwa ajili ya kuliboresha Jiji lao huku akiwahimiza kibuni vyanzo vipya vya mapato ili fedha zitakazopatikana wazitumie kufanya maendeleo.

Amesema kuwa ni vema wakatambua Jiji la Dar es Salaam kupitia viongozi wake wa ngazi mbalimbali wamefanikiwa kutatua changamoto mbalimbali ikiwamo ya usafiri kwa kuanzisha huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendo kasi pamoja na treni ya Jiji.

"Nafahamu kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka Jiji la Dar es Salaam,hivyo niwaombe mtakapokuwa hapa kila ambacho mnataka kufahamu basi kuweni huru kuuliza watalaam na viongozi wetu ambao wapo tayari kutoa majibu.

" Tumeweka mfumo mzuri katika kukusanya kodi ni vema mkajifunza na mtakaporudi Kampala muweke mikakati ambayo itasaidia kuwaongezea mapato na hatimaye mtafanya maendeleo kwa ajili ya wananchi ambao wamewachagua,"amesema Mwita.

Ametumia nafasi hiyo kuwaeleza kwamba Jiji la Dar es Salaam lipo kwenye mchakato wa kuleta mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi ikiwa ni mkakati wa kuwaondolea adha ya usafiri na hivyo ni vema viongozi wa Kampala wakaanza kuweka mikakati ya kushughulikia changamoto za usafiri ambazo kwa sehemu kubwa zinafafana katika majiji mengi.

Amewahimiza kuwa wamoja na kumisha mshikamano ili kupata fursa ya kuwatumikia wananchi na kwamba anatambua Uganda na Tanzania ni nchi ambazo wananchi wake ni ndugu na marafiki.Kwa upande wa Waziri wa Jiji la Kampala Bugembe amesema anatambua pamoja na kufanikiwa katika kulisimamia Jiji la Kampala ambalo lina idadi ya watu milioni nne na linaongoza kwa uchumi bado kuna mambo wanatakiwa kujifunza kutoka Jiji la Dar es Salaam.

Amefafanua mipaka yake ya kiutendaji kama Waziri wa Jiji la Kampala na kwamba katika kuhakikisha wanapiga hatua zaidi wameona haja ya kuja Dar es Salaam ili kupata uzoefu wa kuendesha Jiji na miongoni kwa maeneo ambayo watajifunza ni kushughulikia changamoto ya usafiri.



Hivyo makala VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE

yaani makala yote VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/viongozi-jiji-la-kampala-wakiongozwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI JIJI LA KAMPALA WAKIONGOZWA NA WAZIRI WAO WAJA KUJIFUNZA JIJINI DAR KWA JIJI LA DAR NAMNA LINAVYOSIMAMIA SHUGHULI ZAKE"

Post a Comment

Loading...