Loading...

SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA.

Loading...
SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA.
link : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA.

soma pia


SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA.

Mwambawahabari
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akalishwa kwenye kigoda, kuvalishwa shuka na kupewa fimbo na wazee wa jadi wa kata ya Kijiji cha Mangweta kama ishara ya kukubalika na kupitishwa kuwa hana mpinzani Kijiji hicho kwa mwaka 2020.


Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akaribishwa kwa kwaya ya kanisa la 'pentecoste' la Kijiji cha Chamkoloma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akisalimiana na watendaji wa Halmashauri ya Kongwa mapema leo hii.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa akivalishwa skafu yenye bebdera ya Tanzania na skauti wa Kijiji cha Chamkomola kama ishara ya kumkubali pamoja na uongozi wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.



Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA.

yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/spika-job-ndugai-atembelea-kijiji-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA."

Post a Comment

Loading...