Loading...
title : SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE
link : SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE
SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akilisikiliza kwa makini kikundi cha ngoma ambacho kilitoa buruduni katika Kjiji cha Njoge wilaya ya Kongwa. Spika anatarajia kutembelea vijiji kumi na mbili katika ziara yake wilayani humo.
Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Gomaye wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema leo.
Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Gomaye wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema leo.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE
yaani makala yote SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/spika-ndugai-kutembelea-vijiji-12-ndani.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI KUTEMBELEA VIJIJI 12 NDANI YA JIMBO LAKE"
Post a Comment