Loading...
title : TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA
link : TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA
TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA
Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (Chadema), amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, amethibitisha.Mungu ailaze roho ya Marehemu Mama yetu mpendwa mahali pema peponi-AMEN
Mbunge wa Mbeya mjini,Mh Joseph Mbilinyi almaarufu SUGU akiwa na Mama yake MzazI enzi za uhai wake.
Hivyo makala TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tanzia-mama-mzazi-wa-mbunge-joseph.html
0 Response to "TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA"
Post a Comment