Loading...

TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza

Loading...
TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza
link : TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza

soma pia


TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza

Katibu mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), Prof Cherles Kihampa akizungumza na waadishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ya kujiunga na masomo katika vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, alisema Agost 15 mwaka huu itakuwa siku ya mwisho kutuma maombi hayo.
Na Chalila , Kibuda,Globu ya Jamii.

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kufunga dirisha la awamu ya kwanza la maombi ya kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu hapa nchini.

Akizungumza na wanahabari makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es salaam, Prof. Charles Kihampa amesema kwamba dirisha hilo linafungwa leo Agost 15, na kufunguliwa kwa awamu ya pili septemba 3 mwaka huu.

Aidha Prof.Kahampa amewasisitiza waombaji wasome mwongozo wa programu zilizoidhinishwa kudahili pamoja na vigezo vya udahili vinavyotakiwa kwa kila programu ya masomo kabla ya kuanza kutuma maombi yoyote ya udahili.

Ikumbukwe kuwa dirisha la maombi ya elimu ya juu lilifunguliwa rasmi kwa awamu ya kwanza Julai 20, 2018.


Hivyo makala TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza

yaani makala yote TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tcu-imefunga-dirisha-la-awamu-ya-kwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCU imefunga dirisha la awamu ya kwanza"

Post a Comment

Loading...