Loading...

JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI

Loading...
JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI
link : JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI

soma pia


JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya tarehe 14, Agosti 2018 amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika wodi maalum kitengo cha Taasisi ya mifupa MOI,  hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Kikwete kumtembelea Dk Kigwangalla ambapo awali alimtembelea Agosti 8,  alipokuwa amelazwa Wodi ya Mwaisela akipatiwa Matibabu ya awali.

Kikwete amemtakia kila lakheri katika kipindi hiki kwa kuuguza majeraha ya mkono na sehemu za mwili ikiwemo mbavu ambazo kwa sasa hali yake inaendelea kuimarika kwa majibu wa Madaktari wa kitengo hicho cha mifupa MOI.

Awali tokea kufanyiwa operesheni ya mkono ameweza kufanya mazoezi taratibu ikiwemo kutembea mwenyewe katika viunga hivyo vya Muhimbili.

Dkt. Kigwangalla alipata ajali ya gari mnamo Agosti 4, 2018 huko Manyara akiwa katika ziara ya kikazi ambapo katika ajali hiyo iliyokuwa na watu 6, watano walijeruhiwa na mmoja alifariki dunia ambaye alikuwa afisa habari mwandamizi wa Wizara hiyo, Hamza Temba.
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI anapopatiwa matibabu. Kulia ni Mke wa Waziri Dk Kigwangalla, Dkt. Bayoum Awadhi Kigwangalla.


Hivyo makala JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI

yaani makala yote JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/jk-amjulia-hali-dkt-kigwangalla-kitengo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JK amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI"

Post a Comment

Loading...