Loading...

TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII.

Loading...
TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII.
link : TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII.

soma pia


TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII.


Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetangaza marefa watakaochezesha mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar.

Waamuzi hao ni Refa wa kati ambaye ni Elly Sasi wa Dar es Salaam, Msaidizi namba 1 ni Ferdinand Chacha wa Mwanza huku wa pili ni Helen Mduma wa Dar es Salaam, Fouth Official ni Jonesia Rukya kutoka Bukoba.

Match Assessor ni Alfred Rwiza wa Mwanza na Match Commissioner ni Said Sudi wa Tanga.

Mchezo huo ambao utachezwa siku ya Jumamosi ya Agosti 18 katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza viingilio vyake tayari vimeshatajwa ambavyo ni 10000 kwa VIP, 5000 kwa Mzunguko na Watoto ni 1000.

Simba watashuka dimbani wakiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara huku Mtibwa wakiwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho.


Hivyo makala TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII.

yaani makala yote TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/tff-yatangaza-marefa-mchezo-ngao-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF YATANGAZA MAREFA MCHEZO NGAO YA JAMII."

Post a Comment

Loading...