Loading...
title : Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba
link : Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba
Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu,Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe Balozi Ali Abeid Karume, Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Hassan Hafidhi na Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF, Sabra Issa Machano wakiwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Baadhi ya Viongozi wanaoshiriki Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania linafanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu, Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Balozi Ali Abeid Karume, Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, Mhe Hassan Khamis Hafidh na Katibu Mkuu Ofisi ya Ikulu, Salum Maulid wakiwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania linalofanyika Tibirinzi Mkoa Kusini Pemba
Picha zote na Idara ya Habari maelezo
Hivyo makala Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba
yaani makala yote Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ufugnuzi-wa-kongamano-la-tano-la.html
0 Response to "Ufugnuzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tibirinzi Pemba"
Post a Comment