Loading...

UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA

Loading...
UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA
link : UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA

soma pia


UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA

Mkurugenzi Idara ya Tiba  DK.Mohamed Dahoma alipokuwa akitoa maelezo kwa ujumbe wa timu ya wataalamu kutoka katika  Serikali ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wakati ulipofika kutembelea katika Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Nchi za UAE Mwanzoni kwa mwaka huu

 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Dk.Omar Issa(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa ujumbe wa timu ya wataalamu kutoka katika  Serikali ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wakati ulipofika kutembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Nchi za UAE Mwanzoni kwa mwaka huu
 Afisa Mdhamini katika Wizara ya Kazi,uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Pemba Nd,Khadija Khamis Rajab (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)  Bibi Najla Al- Kaabi (katikati)akifuatana na ujumbe wa wataalamu kutoka Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) uliotembelea kaaika Ushirika wa Wajasiriamali wa Kikundi cha Upendo Group Wete Pemba 
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd.Shomari Omar Shomari (wa pili kulia)pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Nd.Ali Humaid Alderei(kushoto) kutoka Mfuko wa Maendeleo wa (Abudhabi Fund) katika Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea mradi wa Barabara ya Mkoani-Chakechake  Pemba leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Picha na Ikulu.



Hivyo makala UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA

yaani makala yote UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ujumbe-wa-uae-watembelea-sehemu-mbali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA UAE WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA"

Post a Comment

Loading...