Loading...
title : Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini
link : Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini
Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini
UKUTA wa Mawe ambao umeangua chini, kufuatia nguvu za maji zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya Tabia nchi, ukuta huo ulijengwa na wananchi wa Msuka bandarini, kwa lengo la kuzuwia maji ya bahari kumega eneo la bandari ya msuka, mabadiliko hayo yamemega eneo lenye urefu wa mita 500 la bandari ya msuka. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, akiangalia athaari zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi, katika eneo la msuka bandarini, katika ziara yake Kisiwani Pemba hivi karibuni eneo hilo ambalo ukuta umeangushwa chini na maji ya bahari.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
UKUTA wa Mawe ambao umeangua chini, kufuatia nguvu za maji zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya Tabia nchi, ukuta huo ulijengwa na wananchi wa Msuka bandarini, kwa lengo la kuzuwia maji ya bahari kumega eneo la bandari ya msuka, mabadiliko hayo yamemega eneo lenye urefu wa mita 500 la bandari ya msuka. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini
yaani makala yote Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ukuta-wa-mawe-waanguka-msuka-bandarini.html
0 Response to "Ukuta wa mawe waanguka Msuka Bandarini"
Post a Comment