Loading...
title : DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE.
link : DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE.
DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
MKUU wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa na kuwekwa rumande kwa saa 48 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudi inayomiliki Shamba la Kibo and Kikafu Estate ,Jensen Natal pamoja na Manasheria wa kampuni hiyo,Edward Mroso.
mbali na kukamatwa kwa watu hao,Mkuu huyo wa wilaya ameamuru kushikiliwa kwa muda kwa Pasi ya kusafiria ya anayetajwa kuwa mwekezaji wa Shamba la Kibo and Kikau Estate,Trevor Robert kutokana na tuhuma za kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokadiliwa kuwa Zaidi ya Sh Mil 700.
Askari Polisi wakiwa wamemshikilia ,Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley Tanzania,Jensen Natal inayotajwa kukwepa kulipa kodi ya serikali kutokana na uwekezaji katika shamba la Kibo and Kikafu Estate,Natal amekamatwa kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai.
Askari akimsindikiza Mwanasheria wa kampuni ya Tudeley Tanzania,Edward Mroso baada ya kukamatwa kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya.
Mkurugenzi wa Kampuni ya TudeleyTanzania,Jensen Natal na Mwanasheria wa kampuni hiyo,Edward Mroso wakiwa kwenye gari la Polisi muda mfupi baada ya kukamatwa kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hiyo baada ya kutembelea Shamba la Kibo and Kikafu Estate.
Hivyo makala DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE.
yaani makala yote DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/dc-hai-aamuru-kukamatwa-kwa-mwekezaji.html
0 Response to "DC HAI AAMURU KUKAMATWA KWA MWEKEZAJI SHAMBA LA KIBO AND KIKAFU ESTATE NA MWANASHERA WAKE."
Post a Comment