Loading...
title : VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA.
link : VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA.
VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA.
Na Editha Karlo,wa blog ya jamii Kigoma
VIONGOZI wa dini zote wametakiwa kushirikishwa kwenye maandalizi ya mapambano ya ugonjwa wa ebola ambao umetaatifiwa upo nchi jirani ya Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo endapo itatokea utaingia nchini Tanzania ili kuweza kuutokomeza kabisa.
Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi wakati alipotembelea Mkoa wa Kigoma akiongozana na timu yake ya wataalam kwa ajili ya ukaguzi wa nyenzo na afua mbalimbali zilizowekwa ili kupambana na ugonjwa wa ebola leo Mkoani humo.
"Afua muhimu ya mkoa wowote katika kupambana na ugonjwa huu ni kuwashirikisha vizuri viongozi wa dini zetu pamoja na viongozi wa kimila na jamii kwani ndio wanaokutana na wanajamii kwa muda mwingi zaidi hivyo kuwashirikisha kwao elimu juu ya kujikinga na Ebola itakuwa kubwa zaidi na hatimae tutafanikiwa kujikinga na ugonjwa huu" alisema Prof. Bakari.
Aidha Prof. Bakari Kambi amesema kuwa Mkoa wa Kigoma upo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa Ebola kwa kuwa kuna mipaka mingi iliyo wazi ambayo inaingiza wageni kutoka Burundi na Congo ambapo ugonjwa huo umetaarifa upo maeneo ya nchi ya Congo.
Mbali na hayo Prof. Bakari Kambi ameuoingeza uongozi wa Mkoa wa Kigoma kwa jitihada na mikakati waliyoiweka na kuifanyia kazi ili kuweza kudhibiti ugonjwa wa Ebola endapo utaingia Mkoani humo. Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Paul Chaote amesema kuwa Kigoma amesema kuwa hadi sasa hakuna mgonjwa yeyote aliyeripotiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola katika maeneo yote ya Mkoa huo.
Mganga Mkuu wa serekali Prof.Mohammed Bakari akitoka kukagua moja ya mabanda yaliyopo katika bandari ya Kigoma ambayo yatatumika kumpumzisha mgonjwa mwenye dalili ya ugonjwa wa Ebola mara baada ya kushuka katika bandari ya Kigoma.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt.Paul Chawote akitoa taarifa ya ugonjwa wa ebola kwa Mganga Mkuu wa Serekali prof.Bakari Kambi kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkoa wa Kigoma.

Hivyo makala VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA.
yaani makala yote VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/viongozi-wa-dini-wawe-sehemu-muhimu.html
0 Response to "VIONGOZI WA DINI WAWE SEHEMU MUHIMU KATIKA MIKAKATI YA KUJIKINGA NA EBOLA."
Post a Comment