Loading...
title : SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
link : SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
Spika wa Bunge la Tanzania, Mh. Job Ndugai akisalimiana na Kaimu Rais wa Nigeria, Mh. Prof. Yemi Osinbajo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Mjini Abuja nchini Nigeria.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mh. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Nigeria, Mhe Alhaji Yakubu Dogara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-katika-mkutano-wa-18-wa.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI KATIKA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA"
Post a Comment