Loading...
title : VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR
link : VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR
VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR
Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma hiyo kwa kupiga *150*00# wanaoshuhudia kutoka kushoni Mhasibu wa Fedha wa RITA, Audiface Cresence na Afisa Mwandamizi wa Tehama Wizara ya Fedha , Benard Mabagala.
Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,(hawapo pichani) jinsi ya kujiunga na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma hiyo kwa kupiga *150*00# wanaoshuhudia kutoka kushoni Mhasibu wa Fedha wa RITA, Audiface Cresence na Afisa Mwandamizi wa Tehama Wizara ya Fedha , Benard Mabagala.
Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (kushoto) akimsikiliza Mhasibu wa Fedha wa RITA, Audiface Cresence (kulia) wakati akiongea kwa waandishi wa haabari, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma hiyo kwa kupiga *150*00#.
Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (katikati ) Mhasibu wa Fedha wa RITA, Audiface Cresence (Kushoto) na Afisa Mwandamizi wa Tehama Wizara ya Fedha , Benard Mabagala wakiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) vipeperushi vinavyoonyesha jinsi ya kujiunga na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma hiyo kwa kupiga *150*00#
Hivyo makala VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR
yaani makala yote VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/vodacom-yawarahishia-watanzania-kufanya.html
0 Response to "VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI KUPITIA M-PESA APP QR"
Post a Comment