Loading...

Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali

Loading...
Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali
link : Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali

soma pia


Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali

 Mkurugenzi  Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula ( kulia) akikata utepe  wakati wa  uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu (Techzone) na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo  makao makuu ya kampuni  hiyo Vodacom Tower Morocco jijini Dar es Salaam.Kushoto  ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,  Rosalynn Mworia.
 Mkurugenzi  Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula ( katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,  Rosalynn Mworia (kulia) wakimsikiliza mtaalamu wa Data,   Hendrick  Rupia wakati wa  uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo  makao makuu ya kampuni  hiyo Vodacom Tower Morocco jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi  Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia)  akiongea   na wafanyakazi wa Vodacom    wakati wa  uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu  lililopo  makao makuu ya kampuni  hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaa , wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,  Rosalynn Mworia,  Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Lugata na Meneja wa maduka ya Rejareja ya Vodacom Tanzania, Happiness Macha.
 Mkurugenzi  Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia)  akikata keki  wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu uliofanyika leo  katika  makao makuu ya kampuni  hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,  Rosalynn Mworia,  (wa pili kushoto) na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
 Mkurugenzi  Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator Mhandisi Dkt, George Mulamula  (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,  Rosalynn Mworia wakigongea glasi ya shampeni wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu  lililopo Makao Makuu ya kampuni hiyo,Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali

yaani makala yote Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/vodacom-yazindua-njia-ya-kipekee-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Vodacom yazindua njia ya kipekee ya kuhamisha data kwa kutumia duka la kidijitali"

Post a Comment

Loading...