Loading...

WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA

Loading...
WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA
link : WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA

soma pia


WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WADAU wa Usimamizi wa kemikali taka kutoka sekta ya mafuta na gesi kutoka taasisi za umma na binafsi wamehimizwa kuendelea kusimamia sheria,kanuni na sera kuhakikisha hakuna madhara yatakayotokana na matumizi ya kemikali.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Magdalena Mtenga wakati akifungua warsha ya Usimamizi wa Kemikali taka katika sekta ya gesi na mafuta iliyowashirikisha wadau kutoka taasisi za umma na binafsi.

Mtenga aliyemuwakilisha Mkurugenzi Ofisi ya Makamu wa Rais(Mazingira) Ester Makwahiya ,amesema ipo haja ya kukumbusha wadau umuhimu wa kuwa na matumizi sahihi ya kemikali hasa kipindi hiki cha kuelekea uchumi wa kati unaokwenda sambamba na ujenzi wa uchumi wa viwanda.Amesema matumizi ya kemikali hayaepukiki na hasa kutokana na maendeleo ya teknolojia na kwamba kemikamil inatumika katika matumizi mbalimbali yakiwamo ya viwandani na majumbani.

Amesema hivyo ipo haja ya kuwa na matumizi sahihi ya kemikali kwani iwapo hakutakuwa na matumizi sahihi kuna hatari ya kupatikana kwa madhara kwa mtumiaji."Kuna mifano ya athari ambazo zinatokana na matumizi mabaya ya kemikali na miongoni mwa athari hizo ni kupatwa kwa ulemavu wa viungo," amesema.Amesema katika kuhakikisha wananchi wanakuwa salama Serikali imechukia hatua mbalimbali za kuhakikisha kemikali inatumika katika matumizi sahihi na salama kwa kufuata sheria,kanuni,Sera na miongozo iliyopo.


Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Bi. Magdalena Mtenga, akifungua (kwa niaba ya Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira)) warsha ya wadau wa Usimamizi wa Kemikali na Kemikali Taka za Sekta ya Mafuta na Gesi inayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu, Dar es Salaam .

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kulia), akiongea na washiriki wa warsha kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa ufunguzi 
Mtaalam wa Jiolojia kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Bw. Simon Nkenyeli (aliyesimama) akiwasilisha mada kuhusiana na masuala ya usimamizi wa petroli kwa washiriki wa warsha ya Usimamizi na Usimamizi wa Kemikali taka za sekta ya Mafuta na Gesi inaeyoendelea jijini, Dar es Salaam.

Mwanasheria kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Risper Koyi (aliyesimama) akiwasilisha mada kwa wadau kuhusiana na Mikataba ya Kimataifa ya Usimamizi wa Kemikali.

Mgeni Rasmi, Bi. Magdalena Mtenga (aliyekaa katikati) na Mkemia Mkuu wa  Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (wa pili kushoto, waliokaa) wakiwa pamoja na wadau wa warsha ya Usimamizi wa Kemikali na Kemikali taka inayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, Dar es  Salaam .



Hivyo makala WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA

yaani makala yote WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wadau-sekta-ya-gesimafuta-wakumbushwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WADAU SEKTA YA GESI,MAFUTA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI ILI KUEPUKA MADHARA"

Post a Comment

Loading...