Loading...

WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA

Loading...
WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA
link : WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA

soma pia


WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuishukia mahakama kuwa haimtendei haki, Watetezi wa Rasilimali za taifa Wasio na Mipaka (WARAMI) wameibuka na kupinga vikali kitendo hicho kwa kusema Mahakama aingiliwi wala aipangiwi hivyo ni vyema wakaicha ifanyekazi kwa weledi .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo , Mkurugenzi wa Tafiti wa Warami, Philipo Mwakibinga, alisema kitendo kilichofanywa na Mbowe cha kulalamika kwa vyombo vya habari kuhusu kesi ambayo bado ipo mahakamani, ni fedheha na kuidhalilisha Mahakama.

Amesema Mbowe kupitia tamko lake alidai kuwa kuna viashiria ambavyo vinaonyesha kuwa mahakama inaingiliwa na dola huku akijua kwamba si kweli na kwamba mahakama ni mhimili unaotenda kazi zake kwa uhuru.

“Si mara ya kwanza kwa Mbowe kuingilia uhuru wa mahakama hasa pale anapoona kuwa kusa analoshtakiwa nalo linaweza kumtia hatiani kwa mujibu wa sheria,” alisema Mwakibinga na kuongeza Mbowe anafanya hivyo kwa nia ya kupata huruma ya watanzania.

“Jana (juzi) kupitia tamko lake alisema kuwa dola inaingilia mahakama ili kuishinikiza yeye ashindwe. Utagundua kwamba huku ni kuvunja sheria na taratibu ambazo tumejiwekea. Tunafahamu kwamba suala lililopo mahakamani halipaswi kuzungumzwa katika public (hadharani) likiwa bado linaendelea mahakamani,” amesema Mwakibinga.
Mkurugenzi wa Tafiti wa Warami, Philipo Mwakibinga.





Hivyo makala WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA

yaani makala yote WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/warami-wamvaa-mbowe-wamtaka-asiipangie.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WARAMI WAMVAA MBOWE WAMTAKA ASIIPANGIE KAZI MAHAKAMA"

Post a Comment

Loading...